Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT - JamiiForums Wanajanvi, ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani Je huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante =========== UTT AMIS ilianzishwa mwaka 2013 kuchukua majukumu ya usimamizi wa Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja
UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi Nimefahamu haya 1 UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and
M- wekaeza Vs UTT | JamiiForums Kuna wadau waliomba kujua toafuti ya M-wekeza, ipi bora , n k Nitaeleza kwa ufupi kwa wale wanaohitaji kupata hivyo visenti basi wanufaike UMILIKI UTT AIMS nishirika la umma M-wekeza ni mradi wa Vodacom na Sanlam ambayo ni mashirika ya kibinafsi FAIDA NA HASARA Faida ya M-wekeza ni hadi 13 %
Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha) Kwema Wakuu, Za weekend? Nipo nachanganua hapa Mfano nikiwa na labda 20,000,000 - nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja Alternatively hizi 20,000,000 - kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata
Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza? Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1 UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and
Elimu ya Ulinganisho wa Uwekezaji Kwenye Vipande vya UTT-AMIS na . . . Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya kupangisha vimekuwa maarufu kwa wawekezaji Uwekezaji huu miwili unatoa fursa tofauti zenye faida
Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT - JamiiForums Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt Jinsi inavyofanya kazi Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa [emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
utt amis - JamiiForums Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea
KERO - Wawekezaji UTT Amis hatuwezi kuuza vipande vyetu wala kuona . . . Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka kufanya update, watu wanafanya update unaenda ofisi utaambiwa ujaze fomu utajaza lakini amna kinachotokea tunapata wasiwasi hela zetu zina usalama kweli
Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa