MASIFU YA JIONI, JUBILEI YA MIAKA 50 YA UPADRE ASKOFU KILAINI - Facebook Masifu ya jioni ya Jubilei miaka 50 ya Upadre Karibu katika Masifu ya Jubilei ya Miaka 50 ya, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini inayofanyika Parokia ya Bikira Maria Mama Mwenye Huruma Kanisa Kuu Bukoba
Radio Mbiu - MASIFU YA JIONI- JUMATANO JUMA LA PILI. . . - Facebook Ee Mungu Mwenyezi, jina lako ni takatifu, na huruma yako hudumu kizazi hata kizazi: pokea sala ya watu wako, na uwajalie waweze kuutukuza ukuu wako milele Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mwanao, anayeishi na kutawala nawe na Roho Mtakatifu, Mungu, daima na milele