Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa . . . Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
Diamond anapokuwa demon - JamiiForums Kitendo cha Diamond kumuunga mkono Samia kweye siasa uchwara kitamgharimu Kwa sasa najiuliza kama huyu ni Diamond au Demon Naoma msaada
Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz - JamiiForums Lilikuwa ni suala la muda tu Hatimaye imetiki Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya
Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers . . . Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo Kaja na drama zake na kizuchu wake