安裝中文字典英文字典辭典工具!
安裝中文字典英文字典辭典工具!
|
- harmonize - JamiiForums
Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called
- Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake
Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa
- PreGE2025 - Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la . . . - JamiiForums
Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na
- Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani . . .
Amemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama' Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz Amewapongeza wanawake wote
- Harmonize, Ibraah waitwa BASATA. Watakiwa kufika ofisini Jumatatu
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano
- Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na . . . - JamiiForums
Kumbe sasa, kiuhalisia, mkataba wa Harmonize na WCB, kwenye fikra za Harmonize, ulivunjika tangu mwaka 2016 Tafsiri nzuri ya mkataba wa duress ni ule ambao anayesaini, muda mrefu unaofuata akiambiwa asaini upya, lazima akatae Ni kama Harmonize, akili yake ya sasa inamwambia alikosea kusaini Dhambi ya mkataba Mkataba ni makubaliano ya kisheria
- Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii . . .
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1 Marioo 2 Diamond Platnumz 3 Harmonize 4 Alikiba 5 Zuchu Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024 1 Hakuna Matata- Marioo 2 Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue
- PostGE2025 - Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond . . . - JamiiForums
PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny? Waufukweni Dec 11, 2025 diamond fanyeni kazi diamond platnumz harmonize rayvanny tunataka kumpoteza diamond zuchu
|
|
|