英文字典中文字典Word104.com



中文字典辭典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z   


安裝中文字典英文字典辭典工具!

安裝中文字典英文字典辭典工具!








  • Harmonize kaingia kusiko! - JamiiForums
    Watoto wa Harmonize Kama mwaka mmoja uliyopita, Harmonize alitangaza kuwa atakuwa na mtoto na Sarah Michelloti Baadae ilisemekana kwamba mimba ilitoka Kuna wakati alionekana na mtoto kwenye mitandao aliyedai ni mtoto wake Ila bado haijafahamika kama ni kweli Mpenzi wa Harmonize Harmonize alikuwa na mpenzi kutoka Italy kwa jina Sarah Michelloti
  • Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na . . . - JamiiForums
    Kumbe sasa, kiuhalisia, mkataba wa Harmonize na WCB, kwenye fikra za Harmonize, ulivunjika tangu mwaka 2016 Tafsiri nzuri ya mkataba wa duress ni ule ambao anayesaini, muda mrefu unaofuata akiambiwa asaini upya, lazima akatae Ni kama Harmonize, akili yake ya sasa inamwambia alikosea kusaini Dhambi ya mkataba Mkataba ni makubaliano ya kisheria
  • harmonize - JamiiForums
    Mwanamuziki Harmonize ameweka wazi kumalizia Msikiti ulionzishwa kujengwa na Diamond Platnumz kijijini kwao Mtwara Harmonize anasema kuwa alipewa pesa na DiamondPlatnumz aka Simba ili kujenga msikiti huo lakini baada ya kugombana na ujenzi wa msikiti ulisimama Sambamba na hilo Harmonize
  • Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?
    Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi? Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda" Wapo wanaosema ni upendo mpya, wengine wanasema ni ushirikiano wa kazi
  • Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani . . .
    Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz
  • Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!
    CRDB waliendelea kumkumbusha Harmonize kulipa mkopo kila mara na kila njia hadi zikiwemo jumbe za WhatsApp, mwanzoni mwa mwaka 2022 Harmonize aliandika barua kwenda tawi la benki hiyo lililopo Mlimani City akiomba kulipa marejesho kwa kiasi cha 3 3 milioni badala ya utaratibu uliowekwa wa 10 8 milioni kila mwezi wakati huo deni la mkopo likiwa
  • Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya . . . - JamiiForums
    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu mara paa baba yake mzazi akafariki Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama
  • Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na . . . - JamiiForums
    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye


















中文字典-英文字典  2005-2009

|中文姓名英譯,姓名翻譯 |简体中文英文字典