Where We Dare To Talk Openly | JamiiForums JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies
PostGE2025 - Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi . . . JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums Katika hizi siku 90 kuna member wenzetu walipotea kabisa hewani lakini sasa tunaamini watarejea
Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena? Bila VPN JF inashindwa kufunguka Je, imefungiwa tena? secretarybird Saturday at 7:48 PM bila forum jamii jamii forum mbona mimi nashindwa sipati tena ubaguzi vpn
Dini mpya yaibuka Tanzania, Kumbukizi miaka 5 iliyopita mwana JF Likud . . . Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii naichukulia kama kumbukumbu maishani mwangu kwamba usiepende kukaa unapinga kila jambo Mwana JamiiForums Likud miaka takribani saba iliyopita aliwahi sema humu jukwaan kuwa watoto wa mwaka 2000 hawana dini kipindi hicho jina la Genz
Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika . . . Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na