英文字典中文字典Word104.com



中文字典辭典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z   


安裝中文字典英文字典辭典工具!

安裝中文字典英文字典辭典工具!








  • Maana ya ndoto 12 kibiblia ambazo watu wengi huwa wanaota
    Hiyo nimeeleza zaidi juu ya ndoto ya mauti kwa jinsi ya mwili Ukisoma biblia pia mauti ya roho na mauti ya nafsi Mauti ya nafsi maana yake kila unachoamua kinakufa na mauti ya roho maana mtu anaishi ila kibiblia amekufa (Ufunuo 3:1) 8 KUKIMBIZWA NA NGO’MBE: Tulishajifunza maana ya ndoto ya kukimbizwa na mbwa Ngo’mbe ni tofauti na mbwa
  • Ndoto na maana zake - JamiiForums
    Ndoto na maana zake Thread starter Head current; Start date Nov 17, 2014; Head current JF-Expert Member Jan 17, 2013 479 128 Nov 17, 2014 #1 Wanabodi husika na kichwa cha habari hapo juu, kumekuwa na watu wengi (sio wote) ambao wangependa kupata tafsiri za ndoto mbalimbali, walizoota au wanazoota, na ni matumaini yangu kuwa humu jamvini wapo
  • Ndoto tunazoota na tafsiri zake - JamiiForums
    Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo siyo nzuri sana na imenitisha sana Nimeota nimekufa niko ndani ya jeneza kwenda kuzikwa na watu wanalia sana Ghafla nikashtuka toka usingizini Nikajaribu kuinua kichwa kikawa kizito baada ya muda kichwa kikaniuma sana Naomba unipe tafsiri ya hii ndoto maana imeninyima raha kabisa Nawasilisha
  • Aina za ndoto na maana zake, baadhi ya ndoto na maana zake
    Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto 1 WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako 2 DAMU:Kuota kuona damu
  • Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake | JamiiForums
    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezejani kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia
  • Ndoto 20 zinazoweza kukufunga kwenye umaskini bila kujua - JamiiForums
    Maana ya Ndoto Ndoto ni mfululizo wa taswira, mawazo, hisia, na hisi zinazotokea akilini wakati wa usingizi Mara nyingi, ndoto hubeba ujumbe au ishara kuhusu maisha yetu ya kila siku, hisia zetu, au hali tunazopitia Katika tamaduni nyingi, ndoto huchukuliwa kuwa na maana maalum na zinaweza kutoa mwongozo au tahadhari kuhusu maisha yetu ya
  • Mambo unayohitaji kujua katika ndoto unazoota sehemu ya . . . - JamiiForums
    Farao alipoota ndoto zake mbili mfululizo zilizofanana, tena kwa usiku mmoja (Mwanzo 41:1 – 7), alitafuta tafsiri ya ndoto zile mahali ambapo hakutakiwa kutafuta! “Kumbe ni ndoto tu” (Mwanzo 41:7) Hii ikiwa na maana ya kwamba wazo la kwanza lililomjia moyoni mwake, baada ya kuamka usiku ule, ni kuzipuuzia zile ndoto – na wala asiwe
  • Orodha ya ndoto takribani zote na maana zake - JamiiForums
    7 Umepanda mlima mrefu sana kwa tabu na ukafika kileleni juu kabisa, ulipofika ukajikuta una hamu ya kukaa huko na usirudi tena ulikotoka NDOTO ZA DALILI MBAYA 1 UNAHESABU PESA Nyota yako ya utajiri imeshaibiwa na wachawi 2 UNAWAONA WATU WALIOKUFA Tayari na wewe unaandamwa na roho ya umauti, unatafutwa kuuawa kivyoyote 3


















中文字典-英文字典  2005-2009

|中文姓名英譯,姓名翻譯 |简体中文英文字典