安裝中文字典英文字典辭典工具!
安裝中文字典英文字典辭典工具!
|
- Mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua simu
Simu za kisasa zina uwezo wa hifadhi kuanzia 64GB hadi 512GB Pia, angalia kama simu ina nafasi ya kuweka kadi ya kumbukumbu (SD card) kama unahitaji hifadhi ya ziada 8 Ubora wa kioo: Kioo ni sehemu muhimu ya simu, hasa kama unatazama video au kucheza michezo Angalia ukubwa, aina (kama OLED au LCD), na azimio la kioo ili kuhakikisha ni safi
- Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024) - JamiiForums
Uzuri wa simu hii unaweza kupata version ya 8GB RAM 256GB kwa 280,000 =, processor ni MediaTek Helio G85 View attachment 3011600 View attachment 3011601 3 SAMSUNG GALAXY A05S Simu hii inakuja na Snapdragon 680, display nzuri ya LCD, 3 5mm jack, microSD slot, design nzuri na kamera nzuri wakati wa mchana
- Makosa 10 yanayofanywa zaidi katika mawasiliano ya simu
2 Ikiwa simu haijapokelewa, subiri kabla ya kupiga tena Unapopiga simu na haipokelewi, ni vizuri kusubiri kwa dakika kadhaa kabla ya kujaribu tena Unayempigia anaweza kuwa katika shughuli fulani au kwenye mkutano Kumpigia mtu simu mfululizo kunaweza kumkasirisha au kumkatisha tamaa
- Madhara ya Simu za mkononi kwa binadamu ikiwa hazitumiki . . . - JamiiForums
Ajali: Kutumia simu wakati wa kuendesha gari au kutembea huongeza hatari ya ajali kutokana na kupungukiwa na umakini Ili kuepuka madhara haya, inashauriwa kupunguza matumizi ya simu, kuweka mipaka ya muda wa matumizi, na kuchukua hatua za kulinda afya kama kutumia skrini ya kuzuia mwanga wa bluu na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala
- Jinsi ya kutrack location ya mtu kwa kutumia simu yako . . . - JamiiForums
2️⃣ Chagua simu unayotaka kufuatilia 3️⃣ Itaonyesha location ya simu hiyo ikiwa imewashwa na ina mtandao 💡 Faida: Bora kwa kufuatilia simu iliyopotea! Inafanya kazi bila apps za ziada Inahitaji akaunti ya Google au Apple ID ---📍 4 Kutumia AirDroid Parental Control (Kwa Kufuatilia Simu ya Mtoto)
- Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua - JamiiForums
Simu official kutoka Samsung zinakuwa na official warranty kutoka samsung ya miezi 24 (Mika 2) hivyo kabla hauja nunua simu hizi hakikisha unamuuliza muuzaji aina hizi za simu ili akupe machaguo Hizi za Official ni simu nzuri na hazina shida battery , Qulity nzuri hazikwami tofauti na dubai ambazo zinakwama na matatizo mengi mengi
- Muhimu: Usinunue Simu Used Refubrished bila kusoma uzi huu
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Simu Used au Refurbished 1 Fanya utafiti kuhusu simu unayotaka kununua Jua sifa za simu unayotaka kununua, kama ukubwa wa kioo, uwezo wa betri, na teknolojia za mtandao (network compatibility) Usinunue simu kwa ushawishi wa rafiki bila kujua uwezo wake halisi 2 Linganishha bei za simu sokoni
- Code za Siri muhimu kwenye simu yako - JamiiForums
𝗖𝗼𝗱𝗲 𝘇𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 Zifahamu secret code muhimu ambazo zitakusaidia kuweza kutatua baadhi ya matatizo kwenye simu yako au ya rafiki yako ulizokuwa uzijui kabisa kama zinafanya Kazi Secret code hizi zinasaidia kuweza kuondoa baadhi ya changamoto kwenye simu za android
|
|
|