英文字典中文字典Word104.com



中文字典辭典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z   


安裝中文字典英文字典辭典工具!

安裝中文字典英文字典辭典工具!








  • Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani . . .
    Amemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama' Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz Amewapongeza wanawake wote
  • harmonize - JamiiForums
    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called
  • Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake
    Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa
  • Single Again by Harmonize: A Hit Song with Captivating Beats, Lyrics . . .
    In conclusion, "Single Again" by Harmonize is a hit song that has become popular because of its unique beats, captivating lyrics, exceptional music video, and popularity on social media platforms The song is a masterpiece that showcases the talent of the artist and the production team behind it It is no wonder that it has become a favorite among many people and will continue to be so for a
  • Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na . . . - JamiiForums
    Kumbe sasa, kiuhalisia, mkataba wa Harmonize na WCB, kwenye fikra za Harmonize, ulivunjika tangu mwaka 2016 Tafsiri nzuri ya mkataba wa duress ni ule ambao anayesaini, muda mrefu unaofuata akiambiwa asaini upya, lazima akatae Ni kama Harmonize, akili yake ya sasa inamwambia alikosea kusaini Dhambi ya mkataba Mkataba ni makubaliano ya kisheria
  • PreGE2025 - Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la . . . - JamiiForums
    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na
  • Kuanzia kwa Harmonize, Ibraah, the Hanstone na wengineo. Hizi battle za . . .
    Kuanzia kwa Harmonize, Ibraah, the Hanstone na wengineo Hizi battle za wasanii na lebo zao pindi wanapotaka kujiondoa, changamoto huwa ni nini?
  • Harmonize - Hainistui (Official Audio) - JamiiForums
    Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10? Hainistui Lyrics – Harmonize Intro chorus Yaaweya, Jeshi Konde Boy Hainistui, Hainistui, Hainistui Apa nilipo kesho yangu siijui Kuna wenzako watakuroga , Hainistui Au nawe ushaoga, Hainistui Maana hunaga uoga, Hainistui Apa


















中文字典-英文字典  2005-2009

|中文姓名英譯,姓名翻譯 |简体中文英文字典