英文字典中文字典Word104.com



中文字典辭典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z   


安裝中文字典英文字典辭典工具!

安裝中文字典英文字典辭典工具!








  • Watanzania mmepeleka moto mpaka Harmonize kaahirisha show yake ya . . .
    Wakuu, Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo Kama huyu Harmonize hata
  • PreGE2025 - Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la . . . - JamiiForums
    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na
  • Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani . . .
    Amemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama' Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz Amewapongeza wanawake wote
  • Ibraah aondoka rasmi Konde Gang, sasa ni msanii huru bila masharti ya . . .
    Wakuu! Inakuaje kwa waliochangia pesa ya kumlipa Harmonize ili avunje Mkataba wake? === Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Ibraah, ambaye alikuwa chini ya lebo ya Konde Gang, sasa ni huru rasmi kuendelea na kazi zake za muziki kama msanii huru Hii inafuatia makubaliano yaliyofikiwa leo
  • UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika . . .
    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana kama
  • Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!
    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019 Mkopo huo uliokuwa na
  • Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!
    Upuuzi kabisa mtu unakuta anatamba eti kazi ya ualimu ni kazi ya Laana,Sasa tangu nizaliwe sijawahi sikia mwalimu kafikishwa mahakamani Kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki au kauziwa assets zake Kwa kushindwa kurejesha mikopo ya benki Sasa Harmonize kashindwa kulipa M 100,Huu upuuzi,Sitaicha
  • Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na . . . - JamiiForums
    Kumbe sasa, kiuhalisia, mkataba wa Harmonize na WCB, kwenye fikra za Harmonize, ulivunjika tangu mwaka 2016 Tafsiri nzuri ya mkataba wa duress ni ule ambao anayesaini, muda mrefu unaofuata akiambiwa asaini upya, lazima akatae Ni kama Harmonize, akili yake ya sasa inamwambia alikosea kusaini Dhambi ya mkataba Mkataba ni makubaliano ya kisheria


















中文字典-英文字典  2005-2009

|中文姓名英譯,姓名翻譯 |简体中文英文字典