Pendekezo Route mpya ya daladala, Madale-Makumbusho . . . - JamiiForums Habari Wadau, Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri Leo nakuja
Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa . . . Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7 29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS 5,800,000 =, nikamuuliza